Msichana Mkimya

Hiileo, tunasikiliza hadithi muruwa inayohusu msichana mkimya aliyewaokoa watu wake.

Kama atakavyowaonyesha msichana huyu, ili kutatua tatizo lolote, ni lazima uwe na uwezo wa kusikiliza, kutazama na kujifunza.

Inafaa kwa watoto wenye umri wa miaka 4 hadi 9 pamoja na yeyote yule anayependa hadithi.

Credits

Sound Engineer: Wambui Waciuri

Illustrations: Melody Jelagat

Written by: Aleya Kassam

Edited by: Anne Moraa

Voiced by: Afrikan Nduta 

KaBrazen Team: Afrikan Nduta & Jane Nthanze 

Theme song by: Timothy Arinaitwe & Mbogua Mbugua 

Logo by: Francis Ally Mlacha

Produced at: Za Kikwetu Productions

Produced by: The LAM Sisterhood

Season 1 Kiswahili of KaBrazen Podcast was conceptualized and produced by The LAM Sisterhood with support from the Ignite Culture Grant. The Season was recorded at Za Kikwetu Productions Limited. Marketing and Distribution support by Africa Podfest. 

Kiswahili podcast production, marketing and distribution support for Season 1 is supported by a grant from Ignite Culture: ACP-EU Culture Programme (Eastern Africa). This fund is being implemented by HEVA, in partnership with the British Council Kenya with the financial contribution of the European Union, and with further support from the Organisation of ACP (African, Caribbean and Pacific) States. It is part of the global ACP-EU Culture Programme.


Previous
Previous

Zarina Patel

Next
Next

Fatma Na Maryam